'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

News

Author Details

READ4USE.Is the best blogg which designed & founded by Raphael Pascal and it is based on all feeds and news about technology also it gives simple ways to conquire those technical equipments like mobilephones,computers and etc. another author of this blogg known as Djmabexty

Breaking

READ4USE

Featured

Tengeneza Mkwanja Online


Kwanza napenda kumshukuru Muumba kwa pumzi na uhai mpaka saa hii na kwako pia msomaji wa makala hii.Tuungane pamoja katika kujuzana mambo,Katika ulimwengu wa kidijitali,vijana tunakumbana na vikwazo vingi katika kutafuta pesa,hivyo basi sina budi kushare njia mbalimbali za kutengenenza pesa online.
NJIA KUU TATU ZA KUPATA PESA ONLINE.1.BLOG

Njia ambayo ni rahisi ya kutengeneza pesa online ni kuwa na blog kama huna unaweza fungua blog mpya buree hapa,katika blog hii andika makala ya sekta ambayo unaujuzi nayo kwa mfano unaweza anzisha blog juu ya upishi,kompyuta softwares,kuhusuasuala ya smartphone n.kBaada ya kuandika makala mbili tatu ni muda sasa wa kutangaza blog yako iweze kufahamika,unaweza itangaza blog yako buree kupitia facebook account yako kwa rafiki zako au waweza ilipia itangazwe kwenye Google Adword.

Katika blog yako unaweza weka matangazo ya mitandao mbalimbali kama Google AdSense,na creamyads(pendekezo).
Baada ya kusignup na account yako kuwa approved basi unaweza place ad codes kwenye blog yako.Kazi iliyobaki ni kutafuta views nyingi ili uweze kutengeneza pesa kutokana na views za matangazo.
2.FANYA ONLINE PAID SURVEY

Pia waweza tengeneza mkwanja online buree bila kuwa na blog wala gharama yoyote kwa kufanya survey ambazo baada ya hapo utalipwa kati ya $2 hadi 10$ kwa survey moja,ila zinahitaji muda wa kuzifanya survey moja inachukua takribani dakika tano hadi kumi.
Jiunge katika mitandao ifuatayo ili kulipwa kufanya survey online buree bila ya kua na blog au website yoyote.
Inboxdollars(sign up for 15% bonus)


Mtandao huu wa Inboxdollar unalipwa kufanya online survey na kutazama video za youtube ambapo utalipwa 5$ per action.jiunge kwa kubofya hapo chini     upate bonus.Likesplanet

Mtandao huu wa likesplanet unakulipa kulike na kushare facebook fanpages za watu pamoja na online jobs ambazo zitakupa point za kupata mkwanja kiurahisi.join now

3.JIUNGE NA AFFLIATE PROGRAMMES.

Jisajili na mitandao kama

Amazon,clickbank,clicksense na mingine mingi ambayo utakuwa kama affiliate wao ambapo utapewa link utakayo refer mteja kupitia blog yako au facebook na insta account yako.
Andika maelezo mafupi juu ya bidhaa husika,endapo mteja atanunua kupitia link yako utalipwa mpaka 30% ya bei ya bidhaa husika.

Pia jiunge na ojoo kulipwa kutazama matangazo mbalimbali utalipwa hadi dora 5 kwa action.bofya chini hapo kwenye picha ujiunge na ojoo.   
Mwisho napenda kukushukuru msomaji wa makala hii,hizi ni baadhi tuu ya njia zinazotumika kutengeneza pesa online.

Post a Comment

Copyright © READ4USE. Designed by OddThemes and Seotray.com