'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

News

Author Details

READ4USE.Is the best blogg which designed & founded by Raphael Pascal and it is based on all feeds and news about technology also it gives simple ways to conquire those technical equipments like mobilephones,computers and etc. another author of this blogg known as Djmabexty

Breaking

READ4USE

Featured

Msiba Wa Ivan Magari ya kifahari Yatawala

Ivan aliyekuwa mume wa Zari Hassan maarufu ‘Zarithebosslady’ ambaye kwa sasa ni mpenzi wa Diamond Platnumz, alifariki dunia wiki iliyopita baada ya kupata kiharusi na kuwa katika hali ya koma kwa wiki mbili mfululizo katika hospitali ya Steven Biko huko Pretoria nchini Afrika Kusini.

Alifariki dunia wiki iliyopita baada ya kupata kiharusi na kuwa katika hali ya koma kwa wiki mbili mfululizo katika hospitali ya Steven Biko huko Pretoria nchini Afrika Kusini.

miongoni mwa magari hayo ni pamoja na yale ya marehemu likiwemo Hammer lenye jina la Ivan 9, yale ya vizito mbalimbali wa jiji la Kampala waliohudhuria mazishi hayo pamoja na gari la tajiri wa Tanzania Jack Pemba aina ya Audi lenye jina la A Pemba ambalo lilionekana kuwa la kifahari zaidi.
Matajiri maarufu kama Jack Pemba, Lwasa, Mugisha na mwanamuziki Bebe Cool, walikuwa miongoni mwa watu maarufu waliohudhuria ibada hiyo.

Ivan Semwanga alifariki katika Hospitali ya Biko Academy nchini Afrika Kusini, Alhamisi wiki iliyopita kutokana na ugonjwa wa moyo na amezikwa leo nyumbani kwao Kayunga.

Post a Comment

Copyright © READ4USE. Designed by OddThemes and Seotray.com